mitishamba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 697
- 111
- Thread starter
-
- #21
una fikra mgando weye mmh pole sana.
nikuambie tu kama ipo ipo na kama haipo mmh unajisumbua tu.
tafakari chukua hatua.
Naona mnamlaumu na kumshtumu jaama,mwenyewe niko mbioni kumwachisha wa kwangu kazi!msicheze na hisia na mioyo ya watu.
hajafikiria mbali. Kiukweli inakera, kama ni mimi ningemwambia anipe mshahara na posho zote kila mwezi.
Namshukuru Mungu sikuja JF kutafuta umaarufu!!
Sasa huko si atapata ugonjwa wa moyo kabis akumuachia simba mwanambuzi alelee
Kama tu hapa mjini na anajua mkewe kaenda ofcn inakuwa issue ni akae mbali nae kwa miezi kadhaa si jamaa atakufa kwa wivu
Aise wivu mambo ingine bana
Mkuu nimeweka intelijensia ya hali ya juu.Kalaghabaho
Wakati wewe unajua huku wenzako washajua kule
Eti msichana wa kazi na majirani
Duh mkuu funguka macho na masikio sikia la kuambiwa
Ni majirani haop hao watakaokuw awanashinda kwako na house gal huyo huyo atakayekuwa anawapikia chakula wale wapendwa mauncle wa mkeo
jambo la ajabu sana hili
Yaani unamwachisha mkeo kazi kwa sababu ya wivu
Hiyo mijamaa ya ofcn kwake alikuwa na uhusiano nae
Je mchana kutwa unamlinda asitoke nje ya nyumba yako
hivi siku utamkuta na mtu ndani ya nyumba yako hiyo hiyo utasemaje
maamuzi mengine ya ajabu sana
Sijui kwanini hii post imenichekesha sana....kuna msemo waswahili wenzangu tunasema,'binadamu ni kama bahari' huwezi kumchunga mtu mwenye akili zake na matamanio yake...kutulia ni uamuzi wa mtu na si lazima.
Naomba unijuze mkuu, huu umaarufu wa JF ndio upi hasa? mana avatar na ID 2nazo2mia ni feki.
POPOBAWA.
Mkuu nimeweka intelijensia ya hali ya juu.
Anayechunguza naye anachunguzwa.
kama hujanipenda unaweza ukasema hivyo. Lakini mabo ni tofauti na unavyofikiria.
Mkuu nimeweka intelijensia ya hali ya juu.
Anayechunguza naye anachunguzwa.
Bado huja fanya kazi hapo ungemuekea na camera ukamuona anachofanya nyumbani,mueke na Chui, Simba ili uwe na amani zaidi....
Alikwambia nani mwanamke analelewa hivyo? sijui nikwambie!!!!!!!!
Haya mkuu
Dunia ya leo kila kitu kinaenda kwa wakati uliopo
We endelea na kuna siku hata taarifa za uongo utapewa maana wanachotaka hao walinzi wako ni pesa
kama na wewe umenipenda kweli unilipe mshahara kwa kukaa nyumbani. Lol
"Bila wivu atajuaje kama kweli nampenda"
Kwa mpango huu, unaweza kufa siku si zako!! Maisha gani hayo ambayo hakuna kuaminiana! Nakupa pole, anagalia sana, ukimlinda sana mtu, unaweza kuja kupata surprise ya uhakika.