mitishamba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 697
- 111
- Thread starter
-
- #61
Ila we Lizzy ni kiboko. Mwabalishe huyo,kuna jamaa aligongewa mke wake huku akishuhudia pasipo kujua nini kinaendelea,mpaka baada ya game kuisha yule mke akamwambia nini kilikuwa kinaendelea pale,jamaa aliapa kutomchunga mkewe.
Habari ndio hiyo.
Mtu mzima halindwi, anajilinda.
ila ninakushauri usiwe na wivu uliopitiliza ambao hauna maana coz maisha nikusaidiana sasa unapomuachisha kazi ndo solution? alafu kingine mtu mzima achungwagi hata kidogo,na pia inaonekana kuwa ww haujatulia hautaki mamaa ajue njia zako thus y unamwambia akae hom!
humpendi. Umemwachisha kazi kwa sababu ya kutokujiamini kwako. Na kutokumwamini na kumthamini!
Lizi hata ungekuwa wewe ningekulinda na ungelindika pamoja na kiburi hicho
Jidanganye tu!!!
Ukweli ndo huo hata kama hutaki kuukubali. Najua wewe mbishi sana lakini ungekuwa kwangu ungekaa kwenye mstari
Ya Mungu mengi, vp cku kwa bahati mbaya ukaachishwa kazi au kama ni mfanyabiashara mambo yakaenda ndivyo sivyo mtaishije bz for nw am sure hiyo kazi au whteva ndio inayokupa kiburi..
Yeahhh. . In your dreams.
We nishawishi tu nikutafute.
Hayo sio mapenzi, ni utumwa. Na ataliwa akiwa humohumo ndani
Siwezi!!!
LOVE is acceptable but OBSESSION is a madness with no cure. Humuonei huruma bali you are obsessed.
hujanielewa.
Siku yakikukuta hurudi hapa hapa ili kutu uptodate.Atakuwa alipewa chroloform huyo.