Nampenda sana, sipendi afanye kazi.

Nilimaanisha kuwa ubishi wako utanishawishi nikutafute....halafu baadaye utaamini niliyoyasema.

Kwanza huwezi kunitafuta kwasababu sijapotea, pili nafasi ya kufanya niamini haipo labda ndotoni.
 
Kosa kubwa sana umefanya, umemweka home?

Je anajua kama wewe una hizo insecurities? pomba mkeo asijue kama hujiamini siku akijua tu ujue watu wanaanza kukusaidia wanakula tunda lako hivi hivi utakuja kulia lia hapa MMU
 
Haya baba, siku unataka mke wa pili unistue nikuelekeze kwa mzazi wangu ukamalizane nae kabisaa nije mie kuangalia tv nyumbani kwako. Dstv unalipia premium eeh?
King'asti hata kama ungekuwa ni wewe ungekubaliana tu. Hakuna ubabe uliotumika bali ni compromise ya pande zote mbili. Tena ana-enjoy sana tu.
 
Kosa kubwa sana umefanya, umemweka home?

Je anajua kama wewe una hizo insecurities? pomba mkeo asijue kama hujiamini siku akijua tu ujue watu wanaanza kukusaidia wanakula tunda lako hivi hivi utakuja kulia lia hapa MMU

Atakayekula basi ujue na yeye analiwa.
 
Haya baba, siku unataka mke wa pili unistue nikuelekeze kwa mzazi wangu ukamalizane nae kabisaa nije mie kuangalia tv nyumbani kwako. Dstv unalipia premium eeh?

Ndio nataka...upo tayari?
 
we kweli bado unamambo ya kizamani, hebu jiamini wanaume kama nyie msiojiamini ndo huwa mnapigiwa kazi zenu, sasa subiri watu watakupigia hapohapo kwako ndo utaona kwamba huwezi mchunga mwanamke...acha mambo ya kizamani
 
Safi sana mjomba kwani kwako ni wapi nije nikupongeze
 
we kweli bado unamambo ya kizamani, hebu jiamini wanaume kama nyie msiojiamini ndo huwa mnapigiwa kazi zenu, sasa subiri watu watakupigia hapohapo kwako ndo utaona kwamba huwezi mchunga mwanamke...acha mambo ya kizamani

Atakayepiga naye atapigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…