Nampenda sana, sipendi afanye kazi.

miwivu mingine ndio maana watanzania hatuendelei! hivi we mitishamba unamwachisha kazi mwenzio unaona ufahari sana! hivi ujui kuna leo na kesho...kama kumegewa tunda lako itategemea na huyo mpenzio kama ana tabia kama hizo hata umweke kwenye shimo atawamegea watu tuu...haya bana mapenzi hayooooooooo....
 
Hawezi megwa na mtu yeyote
 
Duu mjomba naona hapo lengo lako ni kuimong'onyoa familia na utamu wa wivu wako utatimia pale utakapoachishwa kazi na cv zako kusombwa na mafuriko,mi nitakachokifanya ni kuwanunulia draft,bao na karata ili mkae mkekani muangalie mawio na machweo!!
 
Wala sio upendo huo bali ni wivu tu. kwa hiyo umemfanya mwenzio awe Oliver kan au DIDA nadhani hata huyo mwanamke ana upeo mdogo wa kuchambua mambo akili za kuambiwa changanya na zako.
 
hayakuhusu
 
Wala sio upendo huo bali ni wivu tu. kwa hiyo umemfanya mwenzio awe Oliver kan au DIDA nadhani hata huyo mwanamke ana upeo mdogo wa kuchambua mambo akili za kuambiwa changanya na zako.

Ni mtazzamo wako
 
Kila kitu kikizidi ni chachu. Wivu umekuzidi umechukua maamuzi ambayo siyo sahihi.
Mbona wakati unamwachisha kazi hukusema? Hana kazi ndo unasema. Pole yako
maana akiamua kufanya chochote hutaamini macho yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…