Nampenda sana Tunu Hassani wa EFM

Love at first hearing na sio sight tena
 
Huyu mtoto alikua ananilazimisha nimuoe mke wa pili nikamkatalia katakata
 
Staki kuamini kwamba wanaume walioko EFM wote ni wazembe kias wana muacha huyu sista awe single.
Staki kuamini hilo
 
Ni kweli brother,She knows her job seriously.

Namuelewa sana,Kuhusu kumtongoza nadhani majibu unayo ila tu umekuja humu Kuyaangalia majibu ya wana jamvi.ALL THE BEST.
 
Kweli amenona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…