Nampenda Wema Sepetu

Nampenda Wema Sepetu

mbisom ramos

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
811
Reaction score
396
Jamani nampenda sana huyu dada....naombeni mwenye mawasiliano yake anipatie walau hata e-mail adress!
 
Unampenda na unataka kutafutiwa, mu-approach na mwambie hayo
 
^^
Kuna watu wana damu kali aisee!
Pongezi Wema
^^
 
unampenda kivip..kama shabiki tu au side b...mhhh haya nadhani utakuwa umejipanga kushindana na diamond.....
 
jamani nampenda sana huyu dada,,,,,,naombeni mwenye mawasiliano yake anipatie walau hata e-mail adress!!!!!

wemaabrahamsepetu@gmail.com

niambie unaishi wapi nikupeleke ofisini kwake endless fame mwananyamala hand to hand!

wema is cutie!

photoshoots4.gif
 
niko Tanga kwa sasa,,,ila nitakuja Dsm kwa ajili hyo

uko serious au tunazinguana??

office ya endless fame haina mzaha, kama ni order muhimu iwekwe mapema ili waweke budget kwa ajili ya mgeni.

DAR ES SALAAM kila kitu ni scheduling, jipange..
 
niko serious mkuu!!!!! nataka kutoa duku duku langu!!!!!!
 
Duh, Wema hata aje anitongoze au nilazimishwe siwezi kumfungulia zipu ya suruali yangu. Sijui wanaume wengine tukoje

Kaka watu wengine wanachojali ni shimo tu. Kazoea vyoo vya stendi huyo.
 
Duh ama kweli watu mnayaweza kwa skendo zote hizo alizonazo?lakini all the best
 
Back
Top Bottom