mbisom ramos
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 811
- 396
- Thread starter
-
- #21
Duh ama kweli watu mnayaweza kwa skendo zote hizo alizonazo?lakini all the best
kwani huyo wema ndio nani?
wemaabrahamsepetu@gmail.com
niambie unaishi wapi nikupeleke ofisini kwake endless fame mwananyamala hand to hand!
wema is cutie!
naona umjitoa muanga kumsaidia mkuu apo,au sio?
mkuu labda kweli ana shida, lakini naona katoweka ghafla, nimesubiri PM yake mpaka sasa sijaiona!
mkuu labda kweli ana shida, lakini naona katoweka ghafla, nimesubiri PM yake mpaka sasa sijaiona!
Hahhahhhaha jitahidi ufanane na domo atakupenda tu!!!
Hata mimi nnamkubali huyu dada, she is beautifull.
labda Diamond kasha mweka chemba.anampa za chembe.
Kupenda upende wewe sisi tukutaftie mawasiliano. MAJANGA!
hahahaha,,,,,,,,,ntajifunza kukata mauno
Na domo unalo mwenzio kapendewaa domo lilee!!
Hata mimi nnamkubali huyu dada, she is beautifull.
hahahaha,,,,,,,,,ntajifunza kukata mauno
Mkuu, Neno Beautiful ni gumu kuli define, I think she is not beautiful but she is attractive.