Nampenda yeye tatizo hakuna

Nampenda yeye tatizo hakuna

Wanapambana Na hali zao mkuu!
Kuzaliwa familia maskini huchagui ila kuishi familia ya kitajiri unaweza chagua tu

DJ sepetu
 
Hapana siyo kwamba wanapenda ufahari...

Pili siyo wote...

Ni hivi ndege wafananao huruka pamoja...
Wana target the highest... Wakijiweka cheap they end up with cheap ones, wakijiweka level fulani they end up with class fulani...

Everything comes with a price...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom