Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nimekutana na Joseph Kusaga kwenye Kolido za Ukumbi wa Mlimani City hadi nimeshangaa
Katika Nchi ya kutekana na kubambikiwa kodi kama hii inawezekanaje Mfanyabiashara kama huyu kujitokeza kwenye Mkutano wa CHADEMA?
Nafahamu kwamba amepewa mwaliko , lakini Mwaliko kama huo wamepewa wengi mno ila wameogopa hata kujibu tu kwamba hawatakuja.
Hongera sana Kusaga