Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Unawaogopa CCM badala ya kumuogopa Mungu??..Nafahamu kwamba amepewa mwaliko , lakini Mwaliko kama huo wamepewa wengi mno ila wameogopa hata kujibu tu kwamba hawatakuja.
kwani zoezi la upigaji kura litaanza muda gani hasa?tunaona kama kuna dalili zote kabisa za kura kuweza kuibiwa ili kuhujumu ushindi wa tundu lisu.Nimekutana na Joseph Kusaga kwenye Kolido za Ukumbi wa Mlimani City hadi nimeshangaa
Katika Nchi ya kutekana na kubambikiwa kodi kama hii inawezekanaje Mfanyabiashara kama huyu kujitokeza kwenye Mkutano wa CHADEMA?
View attachment 3208858
Nafahamu kwamba amepewa mwaliko , lakini Mwaliko kama huo wamepewa wengi mno ila wameogopa hata kujibu tu kwamba hawatakuja.
Hongera sana Kusaga
Wasanii wanawaogopa CCM wanaomiliki TCRA na BASATA..Vijisanii uchwara huwezi kuviona kwenye mambo ya kiume kama haya.
Bado hawajaomba kura, tusubiri kwanza tuwasikilize tutaamuaErythrocyte naendelea kuomba kura wewe na timu yako kwa sirisiri hapo makao makuu kumpigia TAL na Heche.
Haya yanayofanyika miaka kadhaa nyuma yasingefanyikaUnawaogopa CCM badala ya kumuogopa Mungu??..
CCM ni binadamu tu kama wewe, they aren't God, The Almighty..
Sasa hii inahusikaje hapa wewe chapombe?Kusaga na Zitto wameolea Zanzibar 🐼
Huyo Mnyasa anayeogopa kutekwaSasa hii inahusikaje hapa wewe chapombe?
Sasa sera za TAL si zinajulikana FAM yeye ni kutoa speech ya utulivu tangu 2005 namwona anagombea urais zile speech zake ni zile zile,ukisema speech za kuwajaza wajumbe FAM ukimpa Mic anajua kuhubiri.Bado hawajaomba kura, tusubiri kwanza tuwasikilize tutaamua
Shit.Kaenda kama mshikaji wake mbowe
Ova
Hakuna 4R yoyote4R. Ingawa mwanzilishi wake ni kigeugeu.
DuuuhShit.
Real Shit.
Over...ova...
Shit