Nampongeza Millard Ayo ni mtangazaji anayejituma

Nampongeza Millard Ayo ni mtangazaji anayejituma

Joined
Aug 20, 2014
Posts
10
Reaction score
13
millard.JPG
Nampenda sana Millard Ayo nilijua ana kitu cha tofauti tangu anaanza kazi ya utangazaji.

Sio kwamba nilivutiwa na story yake aliyopitia.

Jamani anastahili credit nyingi sana.

Habahatish anaanda habari za uhakika, ataenda eneo husika, atatafuta wahusika hata kama ni mazingira hatarishi. Tunajua ana sauti nzuri angeweza kukaa tu lakini anaondoka ofisini kwake kutafuta habari.

Ataiandika habari, atapiga picha na kisha kutangaza. Nawaambia ukweli mwandishi wa namna hii kila mwaka atakuwa anachukua tuzo halafu unakuta wanaomuonea wivu wako busy kwenye social networks kutafuta habari. Jamani si mpaka uwe na elimu kubwa ndo ulete mabadiliko mahala pa kazi yako.

Tatizo sio mshahara hata kama ni mdogo watu wanaanzia chini ukiwa mwaminifu ukajituma kuanzia ngazi ya chini milango itafunguka mingi baadae. Mwandishi yeyote wa habari anayeamini anajituma kwenye kazi yake, awe mtangazaji, mpiga picha, blogger, mwandishi wa gazeti, katuni nk.

Unaamini kazi yake anaipenda na kuithamini.

Big up Millard Ayo na wote mnaoipa sifa Tanzania kwa uandishi bora.
 
Ukijiunga naye anakutumia e-mail 10 kwa sik0 tumshauri apunguze nyingine za hovyo
 
mbona hata adam mchovu nae anajituma..i do appreciate hm
 
i do appreciate him, big up to him:yo:
 
mbona hata adam mchovu nae anajituma..i do appreciate hm
Mleta uzi hajasema kuna mtu hajitumi' bali kaelezea hisia na mtazamo wake juu ya Millard.. Na mara zote wote wanakuwa wanajituma ila kuna kuzidiana..
 
Mi pia namkubali sana ni mtangazaji anaeijua na kuipenda kazi yake,Nikipiga picha namuona mbali sana miaka mitano ijayo.Big up Millard.
 
Back
Top Bottom