britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
vitu vya kawaida. ukute huko US nje ya Camera wanafanya zaidi ya hayo.
Hapa ni kodi inakwepa!Imesaidia nini hiyo?
Imemsaidia yeye mwenyewe kwa kumuongezea umaarufu.
Ni sawa na wale wenye chama chao wanapoamua kula ugali maharage na wapiga kura ili kuwahadaa waone wao ni wamoja.
Case hii na ya Rihana tofauti kwamba Rihana sio mwanasiasa
Hapa ni kodi inakwepa!
Watu wenye pesa kila kitu ni pesa walahi
IRS imekula kwao walahi!
Walete pesa tu au wajenge mashule na hospitali kama OW alivyofanya, hivi hivi ni fake fake tu walahi!ni jambo jema kujitoa kwa ajili ya kusaidia wengine
Katumia sehemu ya fedha zake kusaidia jamii zenye shida, huo sio msaada?Imesaidia nini hiyo?