Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
washawasha una dhambi wewe! Khaaa, yaan umenkera sio siri...au ndio umefuata maneno ya shangazio kuwa mkeo ana sura mbaya kama bundi?
Sasa kwa nini unaenda huko nje wakati mke unae?Hapana bi dada sijafuata maneno ya Shangazi ila mie namuonea huruma huyu binti wa watu kwa kweli,naomba unisamehe kama nimekukera Sweet lady,mie naona kama vile namzibia rizki na pia naogopa nisije nikamwambukiza nami nikiambukizwa huko nje ninakokwenda.Nalog off
Ni kweli aisee kama nilivyoeleza hapo juu,sasa hivi na mie nimeanza kuwa na roho ya utu,kwahiyo naona bora akapumzike binti wa watu.Nalog offkwanza alikufuma unafua chupi ya jirani,then shangazi akamfananisha na bundi.leo unakuja na story ya kumrudisha kwao kwa sababu unamuonea huruma...mmmhhh nalog off
Umeamua uamuzi wa busara; kuliko kumletea magonjwa bora umrudishe akiwa mzima wa afya. Na ni kweli, anastahili mume bora zaidi!
Hapana bi dada sijafuata maneno ya Shangazi ila mie namuonea huruma huyu binti wa watu kwa kweli,naomba unisamehe kama nimekukera Sweet lady,mie naona kama vile namzibia rizki na pia naogopa nisije nikamwambukiza nami nikiambukizwa huko nje ninakokwenda.Nalog off
Sasa kwa nini unaenda huko nje wakati mke unae?
kulikuwa na jamaa fulani akizunguka huko akipewa gono anamrudisha mkewe nyumbani...akihakikisha amepona anamrudia basi shughuli
Afu washawasha mi napenda swagger zako hasa hiyo kofia na "na logg off"
Tukirudi kwenye topic; sasa washawasha unataka tukupe michango umsindikize mamaa na matarumbeta kama ulivyomchukua au ...?
Sasa ukifika kwa wakwe utawaambia ni sababu gani inakufanya umrudishe kwao?
Kama hapo mnapokaa ni nyumba yenu na si ya kupanga, ilikuwa uondoke wewe na umwache yeye hapo.
Ukweli umalaya unasafari ndefu kuisha, ama utamalizwa pale ukimwi utakapo hitimisha kazi.
Fungua sana Zip, utakapoanza kuharisha jumlajumla usumbue ndugu zako na sio huyo dada wa watu