Namrudisha Mke wangu kwao

Huwa nina kawaida ya kuto-jadiri/changia kitu kilichokwishatolewa uamuzi. Ungetutaka tukushauri halafu uutumie ushauri huo kuamua cha kufanya.
 
with all due respect, najua niko off point, wala usitoke povu, as usual nna temporaly insanity. Lakini kwa story hii hii ndo picha ya kwanza ilonijia kichwani

Washawasha unaonekana hata kwenye kitanda huwa unahangaika kama mtetea anataka kutaga.

Afu unaishia kupapasa papasa huku wewe unajidai umefanya kazi ya maana

ningekuwa naweza ningeomba chabo, una mambo.
Nginjanginja hizi zote za nini?
 

hahahaha,ni kweli aisee dakika moja tu ninakuwa nishamaliza kila kitu ndio maana naamua kumrudhisha kwao ili asiendelee kula pesa yangu,vp hauna darubini nikulengeshe uswahilini kwangu uwe unakula kozi?Nalog off
 
kwanza alikufuma unafua chupi ya jirani,then shangazi akamfananisha na bundi.leo unakuja na story ya kumrudisha kwao kwa sababu unamuonea huruma...mmmhhh nalog off

aiseee, namimi nalog off
 
eeh Mungu mwe, huyo mwanamke ulimpenda kweli au ulitafutiwa, na ulipokuwa unaoa ulijua unachotaka kufanya au ulikuwa unafuata mkumbo kwamba wenzio wameoa na wewe uoe? mana nashindwa kuelewa na inakuwaje unakuwa hivyo kama uliijua tabia yako tangu mwanzo kwanini uliamua kuoa na kumpa shida mtoto wa watu, lol, ila ipo siku utamkumbuka mkeo mana hao wanawake unaowapenda kuna siku watakutokea puani, Mungu akusaidie ubadilike, na ni vyema ulichoamua kumrudisha mtoto wa watu usijemletea magonjwa that is kama bado hujauzoa na kumpa, kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni
 
Bado sijaukwaa ndio maana naona bora nimrudishe fasta.Nalog off
 
Ha ha ha, duh! Yaani utakuwa unahamngaika sana
Na hiyo avatar ulijipatia kabisa

hahahaha,ni kweli aisee dakika moja tu ninakuwa nishamaliza kila kitu ndio maana naamua kumrudhisha kwao ili asiendelee kula pesa yangu,vp hauna darubini nikulengeshe uswahilini kwangu uwe unakula kozi?Nalog off
 
You are selfish, self-centred and most of all you do not value the gifted life we all have. Pls.fikiria kwa makini zaidi kabla hujafanya hayo maamuzi.
 
You are selfish, self-centred and most of all you do not value the gifted life we all have. Pls.fikiria kwa makini zaidi kabla hujafanya hayo maamuzi.

bibie Paukwa,mie siuzi samaki lol,ujue huu uamuzi una muda mrefu sana kabla sijautolea maamuzi ila naona muda unakwenda ndio maana nikaona Jumapili hii niamue moja tu.Nalog off
 
nickname nyingine mnazojipa mnakua mmesha jilaani.. wewe kweli unawasha....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…