Namrudisha Mke wangu kwao

Ukishamrudisha huyo mke wako ataendelea kuwa mke wako au akiliwa poa tu!
 
kwani hao mabinti unaopiga nje naniliuu zao zina Gold...?? fafanua wapata nin nje ambacho mkeo hana
 
Kumrudisha kwao ndo kumuonea sasa! Unadhani ile small house yake atakua anonana nayo vipi? Manake kwao babake atakuwepo kila siku, kwako ukiwepo hiyo siku moja kwa wiki unamkera kera tu anavumilia anajua kesho haurudi? Unadhani yeye hana akili kubaki hapo na visa unavyomfanyia!? Unanchekesha(FF, 2011)
 

dah mwana! Kwa staili hii lazima ukute friend zako wakila makombo yako kila kiwanja utakachoibuka,
siamini haya ila kama ni hivi nakushauri ukae chini ujiulize hasa nini shida yako mpaka utafne kwa fujo kiasi hicho,
zaidi tulia kaka ulenge mmoja utakayeridhika naye utulie,
 
Mlete kwangu nikae nae mimi kukupunguzia mzigo,
Kwa tabia ulizoziaja nahisi tunaendana sana!!
Nimfuate lini sasa, na wapi???
 
Haya umfikishe salama basi maana sioni kama kunacha kushauri.

Silog off.
 
unastahili pongezi! wengine maamuzi hayo magumu hawayawezi, wanapenda kula nje na kutesa ndani,utoe na talaka kabisa ok
 
Mlete kwangu nikae nae mimi kukupunguzia mzigo,
Kwa tabia ulizoziaja nahisi tunaendana sana!!
Nimfuate lini sasa, na wapi???
 
nakushauri ivi wakati unamrudisha, unda kamati ya maandaliz, na uhalike wa2 km ulivyowahalika kwny harusi then ndo uwaambie raia kwamba huzitaki mbichi iz! na michango ye2 u2rudshie! mxinifanye nsiwachangie ata wema watakaonipa kadi!
 
ni kweli kabisa bi dada ila kwasababu ni nyumba ya kupanga sintomwacha hivi hivi bila ya kumpa chochote bali nitampa mpunga wa nguvu ili aanze maisha mapya.Nalog off

Nyumba yenyewe ya kupanga huo "mpunga" wa nguvu uutoe wapi? Unanchekesha, au upo NHC na huku una nyumba nyingine umewekeza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…