Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
- Thread starter
-
- #81
nimejipa miaka miwili ya kufanya vurugu halafu ndio nitulie.Nalog offdah mwana! Kwa staili hii lazima ukute friend zako wakila makombo yako kila kiwanja utakachoibuka,
siamini haya ila kama ni hivi nakushauri ukae chini ujiulize hasa nini shida yako mpaka utafne kwa fujo kiasi hicho,
zaidi tulia kaka ulenge mmoja utakayeridhika naye utulie,
acha kupenda vya dezo,mie nakwenda kumwacha na wewe upeleke mahali ili umuoe,nitamrudisha kwao Pemba.Nalog offMlete kwangu nikae nae mimi kukupunguzia mzigo,
Kwa tabia ulizoziaja nahisi tunaendana sana!!
Nimfuate lini sasa, na wapi???
sizijui hizo camp ndio maana nashindwa kukuelewa.Nalog offUnawajua wabeba lawama camp?
Au wachafu camp?
Ukiwajua ndo utanielewa
hapo kwenye red nakushauri uendelee kuwepo.Sawa nashukuru kwa kunitia moyo.Nalog offHaya umfikishe salama basi maana sioni kama kunacha kushauri.
Silog off.
:bump2:.Nalog offWashawasha kweli unawashwa.
nashukuru mkuu kwa pongezi zako maamuzi magumu ndio yanayotakiwa😛oa,nitampa talaka mbili.Nalog offunastahili pongezi! wengine maamuzi hayo magumu hawayawezi, wanapenda kula nje na kutesa ndani,utoe na talaka kabisa ok
Sub hana llah,bi dada mbona mie nimeshafanya tatu yako baada ya kusikia msiba wako uliotangazwa hapa JF!,haya imekuwaje tena bado upo? Nalog offHabari yako Washawasha.... Nalog out!
endelea kutoa michango yako bila chenga,mie nisikukatishe tamaa katika hilo,sintomrudisha kwa sherehe ila mpunga watu watakula.Nalog offnakushauri ivi wakati unamrudisha, unda kamati ya maandaliz, na uhalike wa2 km ulivyowahalika kwny harusi then ndo uwaambie raia kwamba huzitaki mbichi iz! na michango ye2 u2rudshie! mxinifanye nsiwachangie ata wema watakaonipa kadi!
Nina nyumba 3 za urithi ila kutokana na mambo ya kishirikina siwezi kukaa ktk nyumba hizi mie napokea kodi tu halafu na mie nimeenda kupanga,nina mpango wa kumpa Tsh 1,000,000/= au ni ndogo hiyo fedhwa?Nyumba yenyewe ya kupanga huo "mpunga" wa nguvu uutoe wapi? Unanchekesha, au upo NHC na huku una nyumba nyingine umewekeza?
1,Mungu wa manyani ndio Mungu wangu.1.Nahisi kama MUNGU wako ni tofauti na wengine au na mkeo.2, Ulimuoa kwa ndoa au alijiuza kwako? 3. Una unafananaje na avator yako? 4. Huyo shangazi yako ana sura nzuri sana mpaka amwite mkeo bundi.
Wewe na shangazio kama hambadilishi hayo maneno yenu ya kifedhuri,5. nakuapia utakuja humu na neno la kumtafuta mkeo na hutamuona wenye sura za bundi watakuwa wamemchukua hapa ndiyo ukurasa wa maisha yako utakuwa umefunguka ki umaskini.
Usicheze na MUNGU wewe.
Kha! :A S embarassed:,mie mbona sikuletewa itakuwaje nimpelekee mtu K? kama wanapendana watatafutana wenyewe,mie mchanga wa pwani huo.Nalog offOngea nae kwanza. Maybe anampenzi wake na yeye, anakuja kulala wewe ukiwa haupo. Sasa ukimpeleka kwa wazazi utakua umemkosea sababu hawataweza kuonana kwa muda (she will have to pretend kwanza kabla hajam-introduce). kwa hiyo we ongea nae tu, kama vipi umpeleke kwa boyfriend wake...
kumbe hao jamaa watatu kwenye avatar yako ni watu wa nyumba ndogo?Nalog offWazee wa nyumba ndogo haoooo na mada zao.na log off
We si umesema unamuonea huruma baada ya kumtendea vibaya? mtendee haki sasa!Kha! :A S embarassed:,mie mbona sikuletewa itakuwaje nimpelekee mtu K? kama wanapendana watatafutana wenyewe,mie mchanga wa pwani huo.Nalog off
umeona eh! Nalog offKweli kua uyaone! Si mchezo. Mambo ya Rais wa watu wasafi haya....yanatupa changamoto kwelikweli
mie nimeliwaza sana hilo suala na ndio maana nimeona bora nimtie chaka tu,maana isiwe small hausi anajimegea kisela,kwahiyo kama wanapendana basi wataoana mie siwezi kuubeba msalaba wa wengine.Nalog off
Kha!:shock: yaani unanifanya kuwadi mbele ya my wife wangu?Nalog offmlete kwangu aje sabatical leave
haki itabidi ajitendee mwenyewe mie najua kutenda ubaya tu.Nalog offWe si umesema unamuonea huruma baada ya kumtendea vibaya? mtendee haki sasa!
mie namwacha ili awe huru zaidi na yeye afurahie maisha yake.Nalog offSasa ww ushasema mutu ya wanawake mingi, na hurudi home. Ukija nashati yamefuliwa unaenda zako tena. Unahangaika nae wa nn mtoto wa watu? Muache ajilie vyake,si unafaidi nje banaa! Acha hasira za joka la mdimu, ndimu hutaki na wenzio hutaki wazichume!