Namrudisha Mke wangu kwao

Huko unakotaka kumpeleka sio KWAO, kwao ni hapo anapoishi sasa, sema unataka kumpeleka KWA WAZAZI WAKE. Kwani ame complain? Pengine hizo tabia zako ndo alizo kupendea usimkatili mtoto wa watu. Kama una hakika hazipendi kwa nini usibadilike.
 
Washawasha unamtafutia sababu tu my wife wako, Juzi ulisema unampango wa kumuacha ili ukimegewa isikuume, mie nikaahid kuwa kuwa Ntakumegea B4 Hujamtaliki my wife wako, Du umeniwahi kweli Kaka Washawasha------
PS: usipate tabu ya Kumpeleka kwao my wife wako kwao, we mlete kwangu, utakuwa umemsaidia sana (0799778890):lol:
 
Kama huu ndio uGREAT THINKER wako, JF si mahali pako. Tunahitaji akili zilizotulia. Unakera!
 
chamsingi wala usimpeleke kwao, mpe nauli pia ela ya kuanzia naomba namba yake ya simu ya mkononi tafadhali, kwani kuondoka kwako si mwisho wa maisha yake. we hujui kupenda, nenda uwe free ufanye ufuska naamini ni virusi tu ndo vitakurejeshea akili pia kukushikisha adabu yako.
 
wala tigo ndo mnakuwaga hivi,sema wife umeona hana mambo hayo ndo unazuga na hizo sababu feki...!ww inabidi u-restart kbs coz kulog off haitoshi..!
 
Wewe mzee wa kulog off ni choko umeshindwa kumtimizia binti mbichi wa watu mwache aende zake watu waendelee kukupumulia kisogoni. Na login...
 
una roho nzuri wewe halafu choice nzuri ya cku yaani jumapili wazazi nao watajitahidi sana wasiue
 
Washawasha baby. Hii ni Ze commedy, no comments dude!
 
kama ana tabia nzuri mlete kwangu kaka,
 
Dah..kaka yangu umenisononesha sana,tena nimeumia sana,kwann ulimuoa,je kabla ya ndoa hujua hilo..?achana na vicheche vya nje..mpende mkeo kaka.
 
uamuzi mzuri... usije ukamuambukiza ma ukimwi burree bora ukufe mwenyewe
 
Huko unakotaka kumpeleka sio KWAO, kwao ni hapo anapoishi sasa, sema unataka kumpeleka KWA WAZAZI WAKE. Kwani ame complain? Pengine hizo tabia zako ndo alizo kupendea usimkatili mtoto wa watu. Kama una hakika hazipendi kwa nini usibadilike.
Nina mpango wa kula raha/kujirusha kwa miaka miwili ijayo halafu ndio nitulie. Nalog off
 
Nimejitahidi kuipiga hii namba lakini inakataa au kama vipi iandike kwa herufi labda kuna sehemu umekosea. Nalog off
 
Yeye hana Rununu bali anatumia simu ya ndani. Nalog off
 
wala tigo ndo mnakuwaga hivi,sema wife umeona hana mambo hayo ndo unazuga na hizo sababu feki...!ww inabidi u-restart kbs coz kulog off haitoshi..!
Sawa ngoja ni restart. Nalog off
 
Wewe mzee wa kulog off ni choko umeshindwa kumtimizia binti mbichi wa watu mwache aende zake watu waendelee kukupumulia kisogoni. Na login...
Ahsante kwa matusi yako. Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…