Namrudisha Mke wangu kwao

Mwambie alog inn, kwenye Love Connect, anawezampata anayefaa
 
mrudishe mwaya mapema kwann akunyime nafasi
raha jipe mwenyewe babuuuuuu
 
Nafsi ndio inayonisukuma kwenda huko nje na kujirusha kwa sana kabla sijazeeka.Nalog off

Wewe huyo mkaburu wako kweli atakubali kwenda kwao kweli?Maana hao mademu wa SA mmmh wabishi kweli mzee wa Jo'burg
 
Tatizo la washawasha anawashwa saaaaaaanaaa, ndo mana ana wanawake wasio na idadi. Afu washax2 kama kweli umeamua kumrudisha mkeo, sasa sikushauri nini?Me nilikwambia uyo shangazi yako uyo sio shangazi bali ni shanga hizi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…