Namsaka mke wangu,

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
namsaka mke wangu,yupo kwe hisia zangu.napata picha tu,kua ni mwepe,mrefu,na ana miaka 23 na hunijia kipicha ila sipati picha eeee,jamani popote alipo anipigie na hii mana mwaka mpya ndo huu sijapata picha.unayesoma kama huna picha usilazimishe picha mana hutapata picha.mke wangu nitafute naomba usikae kimya ma hutapata picha 0712336687
 

nadhani inabidi umwagiwe maji baridi uamke,ndoto ukuishe na huyo jini mahaba akutoke! Lol!
 
huna picha ,wachangie wenye picha
 
:A S 465:

  • picha inakuja namna kama hii





 
kama huna picha we picha yako hiii:hatari:
 
....sikuelewi, ngoja niwasikie waliokuelewa huenda nikaelewa na nikawa na jambo la kuongea.
 
Kaka pole kama yupo na bado anakupenda atakupigia. Lakini mesage yako sijaielewa vizuri kwani ulishawahi kuonananae? na mliachana katika mazingira gani mpaka usijue aliko.
 
Unamtafuta mke au mchumba ambae ana umri wa miaka 23 au vip? Mbona cjakuelewa msg yako
 
Kudadadadadeki style mpya ya kutongoza.
 
...saka mke wangu saka mke wangu....hapa hayupo hapa hayupo....kenda wapi kenda wapi....kenda kusuka kenda kusuka
 
...saka mke wangu saka mke wangu....hapa hayupo hapa hayupo....kenda wapi kenda wapi....kenda kusuka kenda kusuka

huu mti gani?.. Wa mchongoma, nikiukata.?...haukatiki, hata kwa shoka?.....haukatiki, hata kwa panga?....
 
Reactions: BAK
Tumia CTRL + F au Google Search utampata tu
 
huu mti gani?.. Wa mchongoma, nikiukata.?...haukatiki, hata kwa shoka?.....haukatiki, hata kwa panga?....

tulinge bayoyo tulinge bayoyo nakuomba dada lizzy ukae chini tuyaone malingo yako..bingilibingili mpaka chini. Mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…