Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Nimemshangaa mtoa post.. labda yamemkuta anajifariji ki styleeti hupimi kwa sababu hakuna tiba
eti DNA ya nini
Maneno ya mkosaji hayo
Lakini hapo kwenye jisnia ya mtoto.... Mhhhhh. hapo naona uko sahihi kabisa. hata Mungu hapendi
Jamaa punguza hasiraNa utashangaa sana! ndio maana mnaibiwa mchanga as if mlikua hamjui wakati mlikua mnasaini mikataba japo mliambiwa lakini mkajidai hamuelewi, alafu sasa ivi mnajidai mnauchungu na nchi mbaaaafu!
Gundi, ugoro, kuberi parik nksamahani kuuliza hili hivi viroba bado vipo mitaani au watu mmerudi kwenye matapu tapu na Gongo
haihusiani na maada tafadhali
mkuu nimekuelewa nimekumbuka atakuwa mechanics huyu na hapo kitu cha petroli kimehusikaGundi, ugoro, kuberi parik nk
Watu wanabadirika kulingana na wakati, unaweza fikiri kakutana na kiroba, kumbe mtu kapitia oil com kajipatia lita 1 anabembea mpaka jfmkuu nimekuelewa nimekumbuka atakuwa mechanics huyu na hapo kitu cha petroli kimehusika
kweli mkuuWatu wanabadirika kulingana na wakati, unaweza fikiri kakutana na kiroba, kumbe mtu kapitia oil com kajipatia lita 1 anabembea mpaka jf
Mkuu hiyo ID ni tusi kubwa sanaNa madogo yana nafuu
Acha kujaribu akili za watu wewe!!!!!!!!!!!Ijue afya yako hiyo ya mwisho