Namshauri aache bangi ubondia haumfai.

Namshauri aache bangi ubondia haumfai.

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Nimeona clip fupi ya harmonize na mwakinyo wakitaka kuzichapa Gym sijajua kama kuna wimbo mpya au kuna event ya ngumi inataka kufanyika ila ukweli useme bangi siyo nzuri jamaa harmo anafeli sana.
mwakinyo huyu jamaa jiepushe nae utaenda kupoteza polarity yako kwa upumbavu wa huyu jamaa.
 
Back
Top Bottom