The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Unaonekana unachanganya mambo kadhaa. Fatwa katika Uislamu ni maoni ya kisheria ya mwanazuoni juu ya jambo fulani, si lazima iwe wito wa vita au kuua.Fatwa/Fatwah zinatolewa kwa utaratibu, tayari Futwah ipo ile ya "Kuliangamiza na kuliondoa juu ya uso wa dunia taifa la Israel na Uzayuni".
Kwa upande wa Marekani Fatwah ni ile ile "Kuua au kuharibu mali za Marekani na washirika wake".
Ndio maana unaona mabomu yamepigwa kwa nchi za kiarabu zenye kambi za wamarekani. π
Fatwah hazitolewi kila siku kama ahadi za chama flani kikongwe. Fatwah moja inaweza kuishi kwa miaka mingi kama itikadi mpaka hapo maadui wa waislamu/uislamu watakapoweka silaha zao chini dhidi ya uislamu/waislamu.
Marekani sema ni msahaulifu, Osama aliua maelfu ya wamarekani ndani ya siku moja September 11. Kitendo cha asubuhi ile tulivu, cha ndege mbili zenye maelfu ya lita za mafuta, kujibamiza pale twin towers hatakaa asahau mmarekani.
Fatwa/Fatwah zinatolewa kwa utaratibu, tayari Futwah ipo ile ya "Kuliangamiza na kuliondoa juu ya uso wa dunia taifa la Israel na Uzayuni".
Kwa upande wa Marekani Fatwah ni ile ile "Kuua au kuharibu mali za Marekani na washirika wake".
Ndio maana unaona mabomu yamepigwa kwa nchi za kiarabu zenye kambi za wamarekani.
WTfFatwa/Fatwah zinatolewa kwa utaratibu, tayari Futwah ipo ile ya "Kuliangamiza na kuliondoa juu ya uso wa dunia taifa la Israel na Uzayuni".
Kwa upande wa Marekani Fatwah ni ile ile "Kuua au kuharibu mali za Marekani na washirika wake".
Ndio maana unaona mabomu yamepigwa kwa nchi za kiarabu zenye kambi za wamarekani. π
Fatwah hazitolewi kila siku kama ahadi za chama flani kikongwe. Fatwah moja inaweza kuishi kwa miaka mingi kama itikadi mpaka hapo maadui wa waislamu/uislamu watakapoweka silaha zao chini dhidi ya uislamu/waislamu.
Marekani sema ni msahaulifu, Osama aliua maelfu ya wamarekani ndani ya siku moja September 11. Kitendo cha asubuhi ile tulivu, cha ndege mbili zenye maelfu ya lita za mafuta, kujibamiza pale twin towers hatakaa asahau mmarekani.
Mazungumzo ya kigaidiFatwa/Fatwah zinatolewa kwa utaratibu, tayari Futwah ipo ile ya "Kuliangamiza na kuliondoa juu ya uso wa dunia taifa la Israel na Uzayuni".
Kwa upande wa Marekani Fatwah ni ile ile "Kuua au kuharibu mali za Marekani na washirika wake".
Ndio maana unaona mabomu yamepigwa kwa nchi za kiarabu zenye kambi za wamarekani. π
Fatwah hazitolewi kila siku kama ahadi za chama flani kikongwe. Fatwah moja inaweza kuishi kwa miaka mingi kama itikadi mpaka hapo maadui wa waislamu/uislamu watakapoweka silaha zao chini dhidi ya uislamu/waislamu.
Marekani sema ni msahaulifu, Osama aliua maelfu ya wamarekani ndani ya siku moja September 11. Kitendo cha asubuhi ile tulivu, cha ndege mbili zenye maelfu ya lita za mafuta, kujibamiza pale twin towers hatakaa asahau mmarekani.
[QUOTE="Unaonekana unachanganya mambo kadhaa. Fatwa katika Uislamu ni maoni ya kisheria ya mwanazuoni juu ya jambo fulani, si lazima iwe wito wa vita au kuua.
Pia si sahihi kuzungumza kana kwamba kuna fatwa ya Waislamu wote dhidi ya Marekani au Israel. Matamko kama hayo mara nyingi hutolewa na makundi au watu wachache wenye misimamo ya kisiasa, na hayawakilishi Waislamu wote duniani.
Hata tukio la September 11 lililohusishwa na Osama bin Laden na Al-Qaeda lililaaniwa na wanazuoni na nchi nyingi za Kiislamu. Kwa hiyo ni vizuri kutenganisha kati ya mafundisho ya dini na vitendo vya makundi yenye ajenda zao.