Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Namshauri Mo Dewji, kama kweli anataka kuendelea kuona mafanikio Simba basi hana budi kuvunja bodi ya wakurugenzi, hao akina Asha Baraka, sijui Mangungu, sijui Kaduguda hawana msaada wowote, hao ni watu ambao machoni ni kama watu lakini mioyoni mwao wenzetu.
Namshauri Mo Dewji asije kuweka Bilioni 20 zake, atakuja kulia, mipango ni mingi sana ya ujanja ujanja, ndio maana nasema Ceo Barbra akae pembeni kulinda heshima yake, timu hizi haziwez kuendelea had siku ya kiama, ondoa wajumbe waswahili wote ndani ya bodi, narudia vunja bodi ya wakurugenzi, haina msaada kabisa kabisa kwa maslahi ya timu hiyo.
Wakizingua waachie timu yao.