Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Kweli wewe ulikuwa unaamini Simba atashinda kwa kikosi kile? Msimu huu Simba hawapo vizuri usimhisi tofauti Mzee.Kaduguda juzi alisema kwenye redio hataenda mwanza maana simba wanafungwa, alijuaje?
Umesahau Yanga mbovu ilivyokung'utwa 4 ,1 ? Kwanini huwa mnajisahulisha Sana Wana Yanga?Yanga ilivokua mbovu ilimchapa simba. Ulitegemea yanga ikiwa imara kabisa ifungwe na simba? Ni bahati tu hamjala khamsa.
Sawa ilikula 4, baada ha hapo,.. Tukijumlisha hizi moja moja mnazopewa hazifiki nne kweli?Umesahau Yanga mbovu ilivyokung'utwa 4 ,1 ? Kwanini huwa mnajisahulisha Sana Wana Yanga?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisaaa yaan, huwa anapiga had panaoza. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushindi wa Yanga kwa Simba ni tugoli tumoja tu tena twa bahati ila Simba akimuotea Uto huwa anamkung'uta nne bila au tano bila.
Huyo ni mke,hapigwi ivoUshindi wa Yanga kwa Simba ni tugoli tumoja tu tena twa bahati ila Simba akimuotea Uto huwa anamkung'uta nne bila au tano bila.
Ni Raha sana mwanaume kupiga kagoli kamoja acha mwanamke ahangaike na manne yakeKabisaaa yaan, huwa anapiga had panaoza. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khamsa si tulikubandua wewe au umesahauYanga ilivokuwa mbovu ilimchapa simba. Ulitegemea yanga ikiwa imara kabisa ifungwe na simba? Ni bahati tu hamjala khamsa.
πππ
Mwendesha baiskeli wa makolo ana goli mbili NBCPLπππ
Magazeti yaliandika
-Kwa Kocha huyu Simba vilio basi
-Kocha wa makombe atua Msimbazi
-Kwa Kocha huyu,Kila mechi Simba itaua tu
NB: Mashabiki wa Simba kumbebesha Pablo zigo la Misumari ni kumuonea, makosa yalifanyika na viongozi wa Simba ilikuwa kamari sana kumleta mtu ambaye hajawahi kufundisha mpira Africa na hajui chochote kuhusu soka la Africa,tena katikati ya msimu......hawajui wachezaji wake vizuri ndiyo maana mpaka leo hana first eleven.Pili,mlifail sana kwenye usajili wa wachezaji mfano Sakho, Kanoute,Banda type ya wachezaji hawa wapo Bongo wengi tu......mlifaulu Kwa yule anayemkamia Mayele tu.......Sakho atakupa kitu game moja kati ya 5,hana tofauti na Morrison ni wachezaji wa majukwaa ila hawana msaada na timu ikiwahitaji.
Makolo msimu huu yanahasira sana huku mtaani.....Mwendesha baiskeli wa makolo ana goli mbili NBCPL