Namshauri Professa Assad aende Mahakamani kwa uonevu aliofanyiwa

Hivi dogo kwenu hakuna aliyewahi kufa?

Nakupa hint.

Adui yako akikutangulia kufa, wewe ndiye “utakayemzika” na kuandika wasifu wake jinsi unavyotaka. Hatakuwa na uwezo wa kukujibu, kukuelekeza wala kukuhoji. Ndio adhabu yenyewe.

Hivyo jitahidi sana ama usiwe na wabaya au usiwatangulie kufa! [emoji848]
 
M/Mungu alishamuhukumu kubwa la Roho mbaya,Asad Hana Tena sababu ya kwenda MAHAKAMANI, aliyemfanyia ubaya tayari kashaingia kwenye kumi na nane za Mfalme wa Falme, saizi anachezea punishment mwanzo mwisho
Weka ushahid, au unadhan kifo ni adhabu?
 
M/Mungu alishamuhukumu kubwa la Roho mbaya,Asad Hana Tena sababu ya kwenda MAHAKAMANI, aliyemfanyia ubaya tayari kashaingia kwenye kumi na nane za Mfalme wa Falme, saizi anachezea punishment mwanzo mwisho
Ivi haiwezekani kuchukua lile jiwe kubwa linalocheza kule mwanza tuliweke juu ya kaburi lake ili hata ikitokea siku kapata fahamu basi ashindwe kutoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo hii mzee wa mamvi amemaua kukaa kimya tangu alivyo lazimishwa kuhama kutoka cdm.
 
Alafu hao watakao piga K-vant watakamatwa na kufunguliwa kesi au wataachwa kisa wanatumia uhuru wao?
 
M/Mungu alishamuhukumu kubwa la Roho mbaya,Asad Hana Tena sababu ya kwenda MAHAKAMANI, aliyemfanyia ubaya tayari kashaingia kwenye kumi na nane za Mfalme wa Falme, saizi anachezea punishment mwanzo mwisho
Kufa wakati mwingine sio adhabu kama mtu mwenyewe alijawa na kujiamini kuliko maelezo. Alipokuwa waziri alikwenda Ulaya kutibiwa mara tano.

Alipoingia ikulu akashindwa tena kwenda akiwa keshawaonyesha ujeuri mwingi wazungu kwa maamuzi yake yenye misimamo, angetaka angeweza kupanda ndege na kwenda kutibiwa Ulaya. Kwa ujeuri wake wa kutaka sekta ya afya hapa hapa nchini imtibu ndio akakutana na kifo chake.

Msipende kukiongelea kifo cha mtu bila ya kujua sababu haswa zilizopelekea kikatokea.
 
Katiba imevunjwa,nyie maraia mmechukua hatua gani dhidi ya udhalimu
 
Damu za watu mbaya
 
Tatizo lake lilikua kuonyesha upotevu wa hela kwa utawala uliojisifu unapambana na mafisadi
 
Hiyo namba tatu unaipima vipi? Unajuaje kama alikuwa maadili ya mteuzi wake. Ndiyo maana tunahitaji katiba mpya inayofafanua vitu na siyo ya sasa inayoweka vitu in blankets.
Inaonyesha wazi hujaisoma katiba ya sasa

Ungesoma kipengele cha utaratibu wa kumuondoa CAG madarakani ungeelewa
 
akubali tu kuwa hakuchanga karata zake vyema.. msije mshauri vibaya akaishia kuokota makopo mtaani..sio kila vita inahusu!
 
Huko mahakamani kesi itapigwa dana dana anaweza kufa akaiacha. Mahakama zetu ni kangaroo courts.
 
Mzee wa watu hana shida kabisa na vyeo vya kuingiliwa majukumu.

Juzi nikiwa geti la Edema Hotel pale Msamvu nikamwona mzee wa watu anatoka Muslim University kwa mguu akielekea maeneo Msamvu stendi.

Mzee hana shida kabisa anaishi kwa uhuru na anamwabudu Mungu wake... Alistaafishwa kwa heshima na hakutukosea watanzania.

Mungu ambariki sana mzee wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…