Namshauri Professa Assad aende Mahakamani kwa uonevu aliofanyiwa

Prof. Assad ni mtu mcha Mungu kwa imani ya dini yake, muadilifu na msomi mbobevu. Watu kama hawa kwa nchi nyingine zenye taasisi imara huchukuliwa kama sehemu muhimu ya "think tank" ya kuiongoza nchi. Lakini siyo kwa nchi yenye kuendeshwa kwa akili za ki CCM.

Mtu kama huyu huwezi kutegemea akapate "due respect" kutoka kwa mafisadi na wezi wa mali za umma ambao wamejazana ndani ya CCM. Kila mzalendo mwenye uthubutu wa kutetea rasilimali za nchi hii ni lazima atawekewa zengwe na hata njama za kutaka kummaliza.

Nchi yetu imekuwa ni ya ajabu kabisa, badala ya vyombo vya dola, bunge na mahakama kuwa upande wa wananchi wenye kudhulumiwa na kuonewa, vyote hujitoa ufahamu na kusimamia dhuluma inayofanywa na mahafidhina yaliyojazana ndani ya chama tawala.
 
Mi namshauri anyamaze.....kwa sasa hakuna kitakachomsaidia zaidi ataonekana ana gubu tu. Atulie, alee wajukuu zake! Mbona ameshayafanikisha mengi tu katika maisha haya ya kibongo!!!
 
Legacy ya chadema ni kulipakazia ugaidi taifa
Kwanini hata siku moja usijichukulia kama mtu timamu? Wew kila siku nikujifanya takataka na unaona furaha sana. Lakini una haki ya kujichukulia vyovyote utakavyo.
 
Hivi kufa imekuwa ni laana au walokufa wote wamelaaniwa nashindwa kuelewa kwa kweli!
 
Umeelewa jambo linalozungumziwa kweli? Nyie ndiyo masalia ya mwendakuzimu.
 
Jiwe alikufa kutokana na laana ya wananchi pamoja na kutaka kukifanya Mungu mtu.
 

Jaji Mutungi aliwahi zitambua mahakama za jaji nyani kesi ya ngedere.

Hapo ndipo umuhimu wa katiba mpya ulipo.
 
Utawala wa sheria haukuwepo enzi za Magufuli sioni tofauti kubwa ya awamu ya 5& 6 kilichobadilika ni jinsia ya kiongozi tu
 
(3) vitendo vya kimaadili,huyu atakua na hii shida mana si kwa kulalamika huko kumbe anajua wazi katiba inasemaje lakini yeye kakalia kipengere kimoja tu kwamba muda wa kustaafu ulikua bado.Hopless kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…