Kama Mama ana nia ya dhati kutekeleza 4R basi atafute wasaidizi sahihi watakaofanya naye kazi ktk chama.
Binafsi naona mtu kama Jaji Joseph Warioba angekuwa mtu muhimu sana katika kusimamia maridhiano kati ya CCM na wapinzani.
Kwa upande mwingine sioni mantiki ya uteuzi wa Mzee Wassira kwani hana haiba ya kuunganisha watu, na haaminiki katika suala zima la maridhiano.