badiebey JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 5,875 Reaction score 3,112 Aug 22, 2014 #41 mmhh nnavopenda kula sasa,...
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Aug 22, 2014 #42 Huyo ni celebrity dada. Wanainfluence wanao pia, wakimuona kwenye tv wanatamani kuwa kama yeye. Ukiwa public figure kila chako ni public asset, hadi mumeo gfsonwin said: mumy ivi ata wewe unaingia kwenye mtego wa kumjadili mtu eti kisa mwili wake? Click to expand...
Huyo ni celebrity dada. Wanainfluence wanao pia, wakimuona kwenye tv wanatamani kuwa kama yeye. Ukiwa public figure kila chako ni public asset, hadi mumeo gfsonwin said: mumy ivi ata wewe unaingia kwenye mtego wa kumjadili mtu eti kisa mwili wake? Click to expand...