Uchaguzi 2020 Namshauri Zitto asirejee Tanzania aombe political asylum hali si shwari sana

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Namtahadharisha ZITTO awe makini huku nyumbani si shwari walimkosakosa sana sasa sio ajabu wanamtengenezea sherehe kamili.

Hatungependa ya Lissu yajirudie tena maana makovu yale hayaponi.

KWANINI ZITTO ASIREJEE KWANZA

1. Inaweza kuwa system imemchoka hivyo substitution by elimination ikawa njia muafaka.

2. Maadui wa system wakafanya Yao kumdhuru zito ili kuihujumu system ione Kane ndio imefanya yake.

Hivyo NAMSHAURI ZITTO ASIREJEE TANZANIA AOMBE POLITICAL ASYLUM ili huu upepo upite maana anaweza kuwa target ya maadui wa government na nchi tu kuichafua Tanzania lakini pia anaweza akawa target ya system yenyewe au ROGUES ELEEMENTS ndani ya system.

Damu ya Lissu ingali inalia na hatujaifuta machozi hatutaki kosa lingine litokee.

Ijumaa Karim.
 
Zito ni kiumbe mdogo sanaaa kwa michezo anayocheza wajinga ndio waliwao
 
Huyo ni double agent.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo yule Maalim wa Zenji amesoma huo uzi akacheeeka.
 
Ya kupotea akiwa ndani ya bunge halafu kesho wanamuona akiingia kwenye vikao , lakini hakuonekana akitoka jana yake , umesahau hio?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiogope mtaje tuu ! Ni Mudhihir Mudhiri aliyekua mbunge wa mchinga na mmiliki wa mchinga sound band enzi hizo za Adolf Mbinga mcharaza gitaa la solo hatari 😎 Alipata ajali ya gari na kupoteza mkono mmoja !
 
Alikuwa mbunge wa Lindi kama sijakosea na pia aliwahi kuwa naibu waziri.
 
Kwa hiyo unamtumia ujumbe Spika aliyesema ashughulikiwe?
 
Wakitaka kumkamata wanakutana na Lake Tanganyika hata kama wapo Morogoro.
 
Usiogope mtaje tuu ! Ni Mudhihir Mudhiri aliyekua mbunge wa mchinga na mmiliki wa mchinga sound band enzi hizo za Adolf Mbinga mcharaza gitaa la solo hatari 😎 Alipata ajali ya gari na kupoteza mkono mmoja !

Kuna taarifa kuwa Mudhihir alishikwa ugoni, mwenye mke akampa masharti: ama akatwe mkono au afanyiwe mengine. Akachagua hilo la kukatwa mkono.
Hiyo ajali jinsi ilivyosimuliwa ilikuwa utata mtupu. Mshikaji alikuwa drinking buddy wetu pale container fulani Dar.
 
Usiogope mtaje tuu ! Ni Mudhihir Mudhiri aliyekua mbunge wa mchinga na mmiliki wa mchinga sound band enzi hizo za Adolf Mbinga mcharaza gitaa la solo hatari 😎 Alipata ajali ya gari na kupoteza mkono mmoja !

Mzee wa joka la kibisa! Maneno meengi😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…