Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Matatizo makubwa zaidi ni Taifa stars kuwa kichwa cha mwendawazimu .Sasa mkuu unapenda wenzio watoto wao washindwe kwenda shule acha kushangilia matatizo ya wengne
Mkuu hata akiletwa kapelo haiwezekani maana hakuna mandalizi toka utoto tunachukuana ukubwani tunasema wachezajiMatatizo makubwa zaidi ni Taifa stars kuwa kichwa cha mwendawazimu .
Haya .Wewe ni jipu....
Tunapenda waende shule....... Lakini siyo kwa gharama zetu.Sasa mkuu unapenda wenzio watoto wao washindwe kwenda shule acha kushangilia matatizo ya wengne
chenga hizi ...ttzo sio mkwasa ttzo ligi yetu....Haijalishi ni nani atamrithi , lakini naomba nikiri kwamba huyu ni kati ya makocha wabovu kabisa waliowahi kufundisha Timu ya Taifa .
Hakuwahi kuwa na rekodi yoyote ya ubora kwenye kazi yake , uteuzi wake ulighubikwa na uhusiano wake binafsi na Malinzi ( wote ni wana Yanga ), hana uwezo na alipanga timu kwa mtindo wa " bahatisha ndulute "
Katika kipindi chake ndipo Tanzania iliaibishwa kwa kipigo cha mbwa aliyekunywa maziwa ya mtoto ( bao 7 dhidi ya Algeria ) , kipigo ambacho sikuwahi kukishuhudia kwa timu yetu ya Taifa tangu nipate akili .
Mwache aende zake tu , kwanza amechelewa mno !
NB. Malinzi achunguzwe kwa kumpa ajira kocha mbovu .
Mkuu wakulaumiwa nani hapo TFF au KOCHATunapenda waende shule....... Lakini siyo kwa gharama zetu.
Ile aibu haivumiliki , kwa uzalendo nilionao sikutoka nje wiki !Kweli kabisa Yale magoli saba si mchezo
Tanzania hatuna vifaa wala timu ya football..tubaki washabiki tu..ushind sio kamal
Katimuliwa au kaachaHaijalishi ni nani atamrithi , lakini naomba nikiri kwamba huyu ni kati ya makocha wabovu kabisa waliowahi kufundisha Timu ya Taifa .
Hakuwahi kuwa na rekodi yoyote ya ubora kwenye kazi yake , uteuzi wake ulighubikwa na uhusiano wake binafsi na Malinzi ( wote ni wana Yanga ), hana uwezo na alipanga timu kwa mtindo wa " bahatisha ndulute "
Katika kipindi chake ndipo Tanzania iliaibishwa kwa kipigo cha mbwa aliyekunywa maziwa ya mtoto ( bao 7 dhidi ya Algeria ) , kipigo ambacho sikuwahi kukishuhudia kwa timu yetu ya Taifa tangu nipate akili .
Mwache aende zake tu , kwanza amechelewa mno !
NB. Malinzi achunguzwe kwa kumpa ajira kocha mbovu .
JAMAL MALINZI ni tatizo soka la nchi yetu limeporomoka kabisa.Mkuu wakulaumiwa nani hapo TFF au KOCHA