Namshukuru Mungu, kitumbua kitamu sana

yaelekea mkuu umemega kitumbua kilichotiwa asali na nazi, na huwezi kusahau utamu wake! na siku ukipata kilichotiwa na iliki ndo utachanganyikiwa kabisa.
 
Watu mameishia kuguna tu hamkumjibu Mwita, kamalizia hivi "Lakini najiuliza wanawake nao huwa wanapata utamu uleule ninaopata mimi?" Jamani jibuni hili
 
Mwita25 huo utamu unaopata wewe ni 1% tu zilizobaki zote anapata upande wa pili
 
Umekula kitumbua kilichowekewa sukari nyingi, jihadhari na vitumbua vya namna hiyo mara nyingi huwa vimeficha mengi, usije ukatutoka kwa "kisukari" bure, nadhani umenisoma!!!!
 
jana nilikua naula kitumbua cha mwanakwetu mara nikasikia balotel tena kafumania tena,uwiii mtoto mwanya,miguu-bukoba type,mwanya wa kutosha,umbo lake mi sisemi nitaweka picha soon,ananipa raha jamani...kila niki do anasema mawee ma wee maawee..
 
Mwita25 kitumbua utengenzwa na mchele...eeeh sawa na Je ulishakunywa pombe ya MCHELE? teh teh teh
 
Watu mameishia kuguna tu hamkumjibu Mwita, kamalizia hivi "Lakini najiuliza wanawake nao huwa wanapata utamu uleule ninaopata mimi?" Jamani jibuni hili
Hili swali lina tatizo...hivi kama mtu akijua kuwa wanawake wanapata utamu zaidi.....si anaweza jikuta anatamani kuwa 'punga'?
 
Hili swali lina tatizo...hivi kama mtu akijua kuwa wanawake wanapata utamu zaidi.....si anaweza jikuta anatamani kuwa 'punga'?

Yale yale ya yule jamaa wa mbezi beach aliyeenda china kujibadilisha jinsia akawa dem!
 
hivi ni kweli kitumbua ni kitamu au ni hisia. ila mie napenda ninywee na chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…