Hizi ni siri ambazo unatakiwa ushiriki na mke wako haya unayoeleza hapa ni ushamba wa hicho kitu. Ukioa huwezi toa hizi komenti hapa kwani ushamba utakuwa umakutoka
Au we ndio mara ya kwanza kuonja kitumbua nini?.
Namshukuru sana Mungu kwa uamuzi wa busara wa kunipendelea na kuniumba mwanaume. Kwakweli utamu wa kitumbua unazidi raha zote duniani. Hivi kuna kitu kizuri kama kitumbua duniani? Lakini najiuliza wanawake nao huwa wanapata utamu uleule ninaopata mimi?