Just i am Senior Member
Join Date : 27th January 2011
Posts : 63
Thanks11Thanked 10 Times in 8 Posts
Rep Power : 21
Eti jamani wana jf iit possible mtu kupata mchumba through mtandao uwe simu ama net
Naomba mnijuze juu ya hili kabla sijpotea ndugu yenu
Nabatilisha usemi wangu hapo juu acheni kucheza na akili za watu
umechezewa akili how???? it was a question kunasehemu nlikuambia am the one who looking that mpenzi kwene mtandao???

Re: Eti jamani wana jf iit possible mtu kupata mchumba through mtandao uwe simu ama n
yap its true nikumuomba mungu..kuna couple moja naifahamu kwa ukaribu sana... toka enzi za rafiki wa kalamu msichana alikwa weruweru jamaa alikuwa mzumbe later on mdada akafaulu kila kala jamaa akawa yupo dar..waliishi kama freinds for three years wakaja kuonana u cant believe finest sasa hivi ni yf and hasband with one kid...all we can say they are lucky
Ni huyu ndio unamshukuru mungu kwa ajili yake na mimi narudia acheni kuchezea akili za watu
hongera hongera sanaNamshkuru sana mungu wangu kwa kunijaalia afya njema.... today 30th March tnatimiza mwaka wa Sita wa ndoa yetu namshkuru sana.. am still happy and happy and his love to me is still the same na kubwa we got one beautiful daughter.she i 4 yrs now
Umeona eeehhh wakiambiwa wanakuwa wakali tutaenda tu hivyo hivyo
hongera hongera sana
Natamani niwe wewe gafla
kumbe ni posibo luv juwa na same status hata baada ya miaka sita?watu wanatutishiaga sana ooh soo baada ya kuoana lv linachakachulika.
mbona unaongeza vitisho?ndio maana baadhi wanataka hawara tu na sio mume/mke?Ilinichukua miaka 12 kuanza kuonja joto ya jiwe ila sio kila ndoa inapata misukosuko usiogope mwaego
Just i am Senior Member
Join Date : 27th January 2011
Posts : 63
Thanks11Thanked 10 Times in 8 Posts
Rep Power : 21
Eti jamani wana jf iit possible mtu kupata mchumba through mtandao uwe simu ama net
Naomba mnijuze juu ya hili kabla sijpotea ndugu yenu
Nabatilisha usemi wangu hapo juu acheni kucheza na akili za watu
Re: Eti jamani wana jf iit possible mtu kupata mchumba through mtandao uwe simu ama n
yap its true nikumuomba mungu..kuna couple moja naifahamu kwa ukaribu sana... toka enzi za rafiki wa kalamu msichana alikwa weruweru jamaa alikuwa mzumbe later on mdada akafaulu kila kala jamaa akawa yupo dar..waliishi kama freinds for three years wakaja kuonana u cant believe finest sasa hivi ni yf and hasband with one kid...all we can say they are lucky
Ni huyu ndio unamshukuru mungu kwa ajili yake na mimi narudia acheni kuchezea akili za watu
soma vizurimjitahidi sio kesho kutwa unakuja na thread nyingine hapa ooh nimfanyeje mwanamme huyu
otherwise wishing u all the best!!
Tchao