Warren T JF-Expert Member Joined Dec 5, 2014 Posts 664 Reaction score 409 Feb 29, 2016 #1 Leo hii ikiwa ni birthday ya mwanangu anaeonekana kwenye picha naomba nitumie fursa hii kumuombea afya njema kiakili, kimwili na kiroho, mungu amtangulie katika safari ndefu aliyo nayo katika maisha haya yasiyotabirika!
Leo hii ikiwa ni birthday ya mwanangu anaeonekana kwenye picha naomba nitumie fursa hii kumuombea afya njema kiakili, kimwili na kiroho, mungu amtangulie katika safari ndefu aliyo nayo katika maisha haya yasiyotabirika!
okonkwo jr JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 2,419 Reaction score 1,738 Feb 29, 2016 #2 @EvelynSalt
TEGETA KIBAONI JF-Expert Member Joined Aug 12, 2012 Posts 651 Reaction score 142 Feb 29, 2016 #3 Ataona tena birthdei 2020 Huyo inshaallah.
glory josefu Member Joined Feb 20, 2016 Posts 60 Reaction score 14 Mar 2, 2016 #4 Hbd kwake mungu azid kumkuza zaid