Unatuonaje jamani? Wee si umetoka kutudanganya kuwa ulikuwa unalala Msasani beach unajifunika na mchanga?
ah ! Ah! [emoji3]Wachina wanalalia box au mbao kwa afya ya mgongo
Hata wao ulalia vitanda visivyo na godoro Bali mbao,.Mimi nataka picha yako, sitaki ya wachina, halafu ujue box lipo sakafuni mkuu.