Namshukuru Mungu

Bullshit

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,357
Reaction score
1,596
Hello forums
Leo nimeamua kutoa shiling elfu 20 kwa watu wa tano kama shukurani kwa Mwenyezi Mungu kwa kunifanyia wepesi na kuniraisishia njia ya kutimiza malengo yangu mwaka huu,malengo ambayo nilikuwa nayo kwa muda mrefu.

Maombi na sala za kila siku zimeniweka katika nafasi nzuri ya Mungu kusikiliza kilio changu na kunitimizia kile nilichomuomba.

Nami nikaona ni vyema nitoe shukrani zangu hapa na kwengine ili kumthibitishia Mungu kuwa nimemshukuru kwa kile alichonifanyia.

Kwa vile siwezi kutoa kwa kila mtu basi ni muhimu kwa watu wenye shida wanaweza kuniambia kwanini niwape hiyo elfu 20.

Ukishatoa maelezo yako,usisahau kuweka namba yako mwisho wa maelezo yako ila tu iwe namba ya voda na nitachangua watu watano tu

Mungu awabariki.
Asante
 
Ubarikiwe mkuu ila kama umeamua kutoa kwa moyo mmoja utoe tu bila kuwauliza shida zao
Naangalia yenye uzito maana kila mtu ataitaji na sina huwezo huo wa kutoa kariba watuamiaj zaid ta elf 50 wa jamii f
 
Masharti kama misaada ya mabeberu...yani ugive up annonyimity status yako kwa vipande kadhaa vya fedha.
 
safi lakini huoni kama sio vizuri aanike shida yake?
 
Weka namba yako inbox
Anyways ni maneno tu ya masikini jeuri hayo mkuu....mpaka sasa sijala na sijui usiku nakula nini,usinisahau mkuu hata kwa 2k[emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…