Namkunda OG
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 827
- 1,048
Toa namba wewe kesho kutwa tusikie umeokotwa kisemvule hujitambuiMMMMMH
Looh nilipitiwa jamani khaaAchana na imani za kimaskini ndugu
Naziomba nkusaidie kupelekea watoto yatima
Basi nitumie na mimi nikanunue kuku leo nile na anko wakoHata hapa ni sehemu moja wapo,siku nyingne nitaenda sehemu nyingine sio mbaya
Tuma basiWeka namba
Tuma basi
Wenzio tupate nini? [emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]Mkuu mie nina shida, nitumie tu zote.
[emoji3][emoji3]acha kuzingua basi tuma tigopesa fasta[emoji2][emoji2] nitatumaje bila namba
[emoji3][emoji3]acha kuzingua basi tuma tigopesa fasta
Nafasi ya upendeleo naombaZimekwisha mkuu