University_Promo
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 749
- 661
Kama harakati zinavyoendelea uko Clouds TV,
Wanavyofanya mahojiano na Watu maarufu kama,
Majizo
Zamaradi Mketema,
Wanaofuatwa ningependa waende akina Diamond Platnumz(Au D.P akazungumze uko Wasafi TV kwa ajili ya mchango kwa Ruge),Mkuu wa mkoa wa DSM,Ruby,Dudubayatz,Ray C,Lady Jaydee,Sugu.
Na wengineo wengi kwani ugonjwa hakujipangia yeye kama yeye,Maradhi ni Moja ya mitihani kwa wanadamu tumchangie,tujitoe,tusahau visasi kwani ni mtanzania mwenzetu,Binadamu mwenzetu,Pia ni mzazi ana watoto.
Eee Allah tuokoe waja wako,
Wewe ndiyo kimbilio letu,
Tuponye magonjwa yetu.
===========≠=======================
Nawasilisha∞