University_Promo
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 749
- 661
Kama harakati zinavyoendelea uko Clouds TV,
Wanavyofanya mahojiano na Watu maarufu kama,
Majizo
Zamaradi Mketema,
Wanaofuatwa ningependa waende akina Diamond Platnumz(Au D.P akazungumze uko Wasafi TV kwa ajili ya mchango kwa Ruge),Mkuu wa mkoa wa DSM,Ruby,Dudubayatz,Ray C,Lady Jaydee,Sugu.
Na wengineo wengi kwani ugonjwa hakujipangia yeye kama yeye,Maradhi ni Moja ya mitihani kwa wanadamu tumchangie,tujitoe,tusahau visasi kwani ni mtanzania mwenzetu,Binadamu mwenzetu,Pia ni mzazi ana watoto.
Eee Allah tuokoe waja wako,
Wewe ndiyo kimbilio letu,
Tuponye magonjwa yetu.
===========≠=======================
Nawasilisha∞
Kwani ruby si bado yupogo hapo na nyimbo zake zinapigwa na promo juuukwenye kitabu cha sugu ameeleza katika historia yake hajawai kukutana na mtu mnyonyaji kama ruge mutahaba,, lady jaydee aliwai sema hajawai kuktana na mtu mwenye roho mbaya kama ruge, ruby nae aliwai kusema... diamond nae kamsema ruge ni mnyonyaji
ila nina imani wote hao wamemsamehe bosi ruge wataenda kuongeza nguvu kwenye harambee
Alijirudi akaomba msamahaKwani ruby si bado yupogo hapo na nyimbo zake zinapigwa na promo juuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah niliona ile scenario ...nilicheka sanaDudubaya jana katema shit huko IG kasema haoni huruma hatochanga na mgonjwa anaombea afe
Basi nandy kacharuka huko akamjibu unaroho mbaya wewe
EIMEEEENKama harakati zinavyoendelea uko Clouds TV,
Wanavyofanya mahojiano na Watu maarufu kama,
Majizo
Zamaradi Mketema,
Wanaofuatwa ningependa waende akina Diamond Platnumz(Au D.P akazungumze uko Wasafi TV kwa ajili ya mchango kwa Ruge),Mkuu wa mkoa wa DSM,Ruby,Dudubayatz,Ray C,Lady Jaydee,Sugu.
Na wengineo wengi kwani ugonjwa hakujipangia yeye kama yeye,Maradhi ni Moja ya mitihani kwa wanadamu tumchangie,tujitoe,tusahau visasi kwani ni mtanzania mwenzetu,Binadamu mwenzetu,Pia ni mzazi ana watoto.
Eee Allah tuokoe waja wako,
Wewe ndiyo kimbilio letu,
Tuponye magonjwa yetu.
===========≠=======================
Nawasilisha∞
Jamani ebu wacheni kukuza mambo kwani huyo Ruge ndio wa kwanza kuumwa? kama Diamond ataona yafaa atazungumza kama aifai ata achana nayo lakini sio kwa kelele zenuKama harakati zinavyoendelea uko Clouds TV,
Wanavyofanya mahojiano na Watu maarufu kama,
Majizo
Zamaradi Mketema,
Wanaofuatwa ningependa waende akina Diamond Platnumz(Au D.P akazungumze uko Wasafi TV kwa ajili ya mchango kwa Ruge),Mkuu wa mkoa wa DSM,Ruby,Dudubayatz,Ray C,Lady Jaydee,Sugu.
Na wengineo wengi kwani ugonjwa hakujipangia yeye kama yeye,Maradhi ni Moja ya mitihani kwa wanadamu tumchangie,tujitoe,tusahau visasi kwani ni mtanzania mwenzetu,Binadamu mwenzetu,Pia ni mzazi ana watoto.
Eee Allah tuokoe waja wako,
Wewe ndiyo kimbilio letu,
Tuponye magonjwa yetu.
===========≠=======================
Nawasilisha∞
kwa kunyonya kote bado anaomba msaada wa matibabu,kweli kabisa.kweli wasanii na wasanii.Kama harakati zinavyoendelea uko Clouds TV,