Namsubiri Diamond Platinumz kwenda Clouds 360 au Kuzungumzia hali ya Ruge Wasafi TV

hapo ndipo utajua nini thamani ya kuulinda ulimi wako usinene hira, hawa clouds nawafananisha na mjamzito anaemtukana mkunga.. na kama hawatahojiana na platnumz hapo ndipo ntaamin cloud wana roho za ndoano kabisa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mondi angeweza kufanya hivyo ila uhusiano wake na DAB unampa shida sana sizani kama baba mlezi atakubaliana na hili
 
Angeumwa mlala Hoi mwenzangu sasa hivi yupo kaburini.. kwa vile siye hatuna pesa na umaarufu hatuna wala pakukimbilia leo watu wenye pesa zao wa naomba msaada kwa hao hao wananchi.. Hatuna budi kuishi vizuri na kuheshimiana duniani Kuna siri nyingi mungu kazificha.. Kila la kheri kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…