Namtafta yuleeee

kapingili

Senior Member
Joined
Jul 4, 2012
Posts
155
Reaction score
192
Hivi ni kweli watu wanaweza
kupata watu sahihi through
social networks?? Mara nyingi
nasikia watu mitaani na
maofisini wakisema huwezi
kupata mke safi na mme safi
kupitia JF, e.t.c. Sina uhakika wa
moja kwa moja! Ila ngoja mimi
nijitose niangalie what will
happen.
NIPO SIRIAZ JAMANI.: Natafuta
Mwanamke mrembo mwenye
yuko tayari kuishi na
mimi,tunaanza kuwa wapenzi
tunakuja wachumba,ikiwa
sawa tunaoana! Slow but sure.
So I real need a wife material
b'coz I'm also A husband
material.
Sitaki kusema sana,aliye tayari
tutasemezana kupitia namba hii
0685887272. To mention a
few,awe mzuri wa sura,awe
mnene kidogo sipendi njiti!
Mrefu kiasi chake,awe anajua
kusoma na kuandika. Asizidi
miaka 26 na kuwa chini ya
miaka 18. Plz take it serious!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…