Namtafuta Asha Dii.....!!!!!

Weye jichekeleshe tu na kakangu kaizer hapo, Nakudeku tu. na wifi ashadii akirudi safari nakusemelezea ujue.

Wewe nae, huna dogo!?,mengine unamezea tu!
 
Wajameni mara ngapi mwataka niwaambie ujauzito unamsumbua atarudi tu humu, na hii swaumu ndo kabisaa! Ujumbe wowote wa AshaDii upitie kwangu au kwa shemeji Roulette
 
Last edited by a moderator:
ehhh pole we!!! yuko mkoa wa singida kijiji cha mgongo kata ya shelui wilaya ya iramba kaolewa na mfanyabiashara maarufu wa mafuta ya alizeti mke wa tatu Anapika na kupakuwa marojorojo c unajua huu mwenzi una neema zake.ntakupeleka hadi getini kwao yaaan pazuri weweeeee!
 

Wewe mtoto mbea!
 
Pombekali si unajua siku hizi watoto wanapatikana mbali sana
licha ya hivyo sometimes kuna bed rest nyingine zinafikia hata miezi tisa
najua atakuja tu hofu no kabisa mkuu.

Hatukatai, sasa ndo aondoke kimya kimya? hajui watu kama Bishanga walikuwa na malengo nae mazuri tu!
 
Weye jichekeleshe tu na kakangu kaizer hapo, Nakudeku tu. na wifi ashadii akirudi safari nakusemelezea ujue.

Jamani King'asti, huo ulikuwa ni mchezo wa kinywa tu ili kuzuia pafyumu mdomoni......si unajua tena na huu mfungo?!! Lol
 
Last edited by a moderator:
Jamani King'asti, huo ulikuwa ni mchezo wa kinywa tu ili kuzuia pafyumu mdomoni......si unajua tena na huu mfungo?!! Lol
Weeh unachezesha mdomo mwenzio anachezesha sarawili.
sijui Kama ugomvi na mie unauweza, you are warned Kipipi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…