Namtafuta atakayenifaa maishani

Hata hao B huwezi wapata, labda wasio jielewa, yaan B aliye smart n upstairs akufate wee? Ila inawezekana. Kunao wengine tunasikia wana wakurupukia watu pasipo kujua status zao za sex affairs. Lol
 
Matraco yako acha kunipa uzee nisio nao..!!
Huyu mama yangu aliyenizaa wa 79 hata wewe mdogo kwako mfyuuuu..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Mahweeee! Lamomy wewe ukikosa 47 sijui..
 
Matraco yako acha kunipa uzee nisio nao..!!
Huyu mama yangu aliyenizaa wa 79 hata wewe mdogo kwako mfyuuuu..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†kumbe wewe kitoto cha alfu mbili?
 
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†kumbe wewe kitoto cha alfu mbili?
We unikome mi wa nineteen fifty kweusi ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Acha kunifananisha na vitoto, sisi ndo tumewaletea uhuru huu mnaotamba nao..!! ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
We unikome mi wa nineteen fifty kweusi ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Acha kunifananisha na vitoto, sisi ndo tumewaletea uhuru huu mnaotamba nao..!! ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Wewe kabinti kadogo labda ka 95 mpaka 99 hivi๐Ÿ˜†
 
Min hizi dharau, wewe mimi nakuzaa huku napiga deki ujue..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Tuvindevu vyangu tumeanza changanyika na mvi lakini๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Kushaanza kuchangamka Wacha waje chief libido walitoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ