Hahaha...........karibuni Kijijini, Babu yenu ninao Wajukuu wakutosha tuHili jambo Lina mwisho wake tupeni mda kwanza πππ
π OK, sema nyie wana jf sio wavumilivu , kabisa hata mtu akijitolea mnakata tamaa mapema sana.Connection pls
Babu bado ujasemaHahaha...........karibuni Kijijini, Babu yenu ninao Wajukuu wakutosha tu
Nilivyomisi kuozesha, nitawachinjia ng'ombe 20 kama zawadi yangu Siku hiyo π€
Babu unanikumbusha maisha ya vitabu vya elimu ya msingi kwamba tulisafiri umbali mrefu tukafika kijijini kwa babu ,nae babu alitusimulia hadithi chini ya mwembeπ€£Hahaha...........karibuni Kijijini, Babu yenu ninao Wajukuu wakutosha tu
Nilivyomisi kuozesha, nitawachinjia ng'ombe 20 kama zawadi yangu Siku hiyo π€
Ulishawai kufanya Ivo ata kwa mmojaπ OK, sema nyie wana jf sio wavumilivu , kabisa hata mtu akijitolea mnakata tamaa mapema sana.
Najaribu hta sasaUlishawai kufanya Ivo ata kwa mmoja
Kwani Mjukuu yule Mume uliyekuja kumtambulisha Mwezi Uliopita amerara mberee?πVijana wanahudhuria vikao vyao balaa tusahau tu kuhus kuolewa hawatak kabisa
Basi ulikutana na sio wamezoea show offNajaribu hta sasa
Hahaha..............Unajua Wazee ni kama vitabu, tunazo hadithi nyingi vichwani mwetu kutokana na maisha tuliyoishi Mwaka 47 π€Babu unanikumbusha maisha ya vitabu vya elimu ya msingi kwamba tulisafiri umbali mrefu tukafika kijijini kwa babu ,nae babu alitusimulia hadithi chini ya mwembeπ€£
Mshangingi lazima age imeenda kidogo, alafu linajiremba kwelikweli mixer kujipenda. Wakat huo linanukia si mchezo, akiingia kwemye dera yani dera lemyewe linatepeta na kila hatua linalokanyaga ina nukta. Huko nyuma na bode ukiliangalia mpaka unaona kabisa hapa mm leo nile nishibe kabla sijadinda nisije kuumbuka njianiHivi shangingi huwa ana sifa gani
Msifanye niongeze zawadi ya ng'ombe zipande hadi 30 kutoka 20Babu bado ujasema
Alivorudi kutoka kwenye kikao akaghairi na mahali kasamehe kasema ndoa ni utapeli π€£π€£Kwani Mjukuu yule Mume uliyekuja kumtambulisha Mwezi Uliopita amerara mberee?π
Ngoja tutengeneze dawa ili Kila Mwanaume atakayekuona akuone kama Tanzanite ya Mererani ama Dhahabu ya Geita
Mwaka huu lazima tule biryani la harusi yako π€
Si mtanikuta meno ya mbele Sina uzee umepiga hodi ππMda ukifika tutakuja wenyew hili jambo linahitaji ufukiri wa Hali ya juu
Wala we endelea kujitunza magegoSi mtanikuta meno ya mbele Sina uzee umepiga hodi ππ
Hahahah kumbe uka sio kwa lamo ,haka ka lamo ni katoto ka 2000 tu hapaMshangingi lazima age imeenda kidogo, alafu linajiremba kwelikweli mixer kujipenda. Wakat huo linanukia si mchezo, akiingia kwemye dera yani dera lemyewe linatepeta na kila hatua linalokanyaga ina nukta. Huko nyuma na bode ukiliangalia mpaka unaona kabisa hapa mm leo nile nishibe kabla sijadinda nisije kuumbuka njiani
Unavijua vipepeo vya kizamani vile vya mkeka?
Badooooo babuMsifanye niongeze zawadi ya ng'ombe zipande hadi 30 kutoka 20
Wajukuu zangu ni visu mjue π€
Unapenda kula wewe πππNikiona comment yako naona mavyakula , ila mimi kama katibu wa majobess naomba utoe hoja mbili za kutetea comment yako.
Ya bush au townUnapenda kula wewe πππ
Sikuhiz nimekuwa mchoyo wa recipe ngoja niwaletee ya makande ππ
Ndugu katibu hoja yangu mwanaume hutakiw kusema Hela hauna ni dharau kubwa sana unatakiwa useme mchongo unakamilika muda wowote wewe ni bilionea huku unausikilizia mikeka Yako ya kubet π€£π€£π€£
Ungependa aje lini kutangaza hiyo Ndoa?Alivorudi kutoka kwenye kikao akaghairi na mahali kasamehe kasema ndoa ni utapeli π€£π€£