akili_ninazo
Member
- Mar 18, 2025
- 72
- 148
- Thread starter
-
- #141
Kuolewa kupo, nyie ndio mnaleta mapepe na ufeminist wenu kutaka kumsulubu mwanaume kwa kigezo cha ndoa. Ukiwa na natural woman habit bila kufata trends za woman empowering utaolewa tena na mimi.Vijana wanahudhuria vikao vyao balaa tusahau tu kuhus kuolewa hawatak kabisa
πππStaafu oa na wana chama waigee mfano wako labda tutaokotaa baadhi ya wnachamaππNa uzuri mmoja mimi nikishalewa siwezi vunga kabisa π ila nafasi yangu ya ukatibu naipenda mno
Happo mwisho nimependa πKuolewa kupo, nyie ndio mnaleta mapepe na ufeminist wenu kutaka kumsulubu mwanaume kwa kigezo cha ndoa. Ukiwa na natural woman habit bila kufata trends za woman empowering utaolewa tena na mimi.
mii sio jobless... Kuna mchongo nausikilizia
Umbea huuπ€Jirani Lamomy Vijana wanapigana huku kwasababu yako umeona??
Hahaha.......... afadhali iwe ya Mkeka, ili hata kama mkiachana baada ya miezi 6 tusiwepo wa kulaumu kuhusu michango yetu π€Naoa ndoa ya mkeka Mkuu π
Hahahπππ ,. Sikusoma jina Anko soreToto wewe ndio wa kuniita mimi kijana kweliπ€£π€£π€£
Juzi juzi mama yangu alisema nioe ila alitengua kauli masaa yasiyozidi 23 sijui kwanini π€πππStaafu oa na wana chama waigee mfano wako labda tutaokotaa baadhi ya wnachamaππ
Usome jina siku nyingine Mpwaπ€£π€£Hahahπππ ,. Sikusoma jina Anko sore
π€ΈUsome jina siku nyingine Mpwaπ€£π€£
Nakuwaga na haraka tatizoππ,.Usome jina siku nyingine Mpwaπ€£π€£
Itakuwa aliona ubavu umekuja dunian ukiwa umepinda mama akaaona waasije kuniulia mwananguπJuzi juzi mama yangu alisema nioe ila alitengua kauli masaa yasiyozidi 23 sijui kwanini π€
Daah nimesoma hii huku nakenua mpaka watu wamenishangaa...Em ingia kwanza bafuni upige kimoja ndo uje tuongee vizuri
Kile kinyaji lipo kwerNakuwaga na haraka tatizoππ,.
Sawa
ππππUtakuja kuniua we binti kwa matamshi haya mieItakuwa aliona ubavu umekuja dunian ukiwa umepinda mama akaaona waasije kuniulia mwananguπ
Kwahiyo haumpi nafasi moyoni?π€πWenzie wanaandaga mazingira mapema kabla mvua hazinaanza,. Wengine wanaoa kabisa
ZimejaaKwahiyo haumpi nafasi moyoni?π€π
penda kote mwanzo, kati na mwisho.Happo mwisho nimependa π
Hahah,. Na venye nishaianza weekend πKile kinyaji lipo kwer
Weeeeeee ndio kinaitwaje vileHahah,. Na venye nishaianza weekend π