Namtafuta atakayenifaa maishani

Itakuwa aliona ubavu umekuja dunian ukiwa umepinda mama akaaona waasije kuniulia mwanangu๐Ÿ˜‚
Ndio maana mama yangu nampenda sana , huyu na mama x wife zangu ndio wanawake nawapenda kuliko wote .
 
Nikija bongo now ni Serengeti na mikumi tu , nikitoka hapo naenda njombe basiii
Mtalii maskini wewe.. nataka nikutup bawe island pale ulipe 3 m per night mzee wiki tu huna hata mia wallah
 
Mtalii maskini wewe.. nataka nikutup bawe island pale ulipe 3 m per night mzee wiki tu huna hata mia wallah
Kaka mil 3 mimi naitengeza kwa saa wewe haushtuki tu? Hivi kumbe huwa mnamchukulia Jack sparrow kirahisi rahisi tu humu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ