No, nimeongea ili afahamu kuwa siku ingine usipoonekana anyooshe kwangu moja kwa moja
Bora kwanza akupigia maana akija moja kwa moja ni hatari...
I love you sana mwanangu....sijapotea baby nipo tena nipo karibu sana
Uyoooo unaemtafutaa ni baba yakooo au baby wakoooo
No, nimeongea ili afahamu kuwa siku ingine usipoonekana anyooshe kwangu moja kwa moja
Baba simtaki huyu mama ni mkali
Haya kama hunitaki....ila kumbuka mie ndo mama yako
[SIZE=3 [USER=85503]DEMBA[/USER] ila ujue mshana jr anahila sana hapendi akiona hivi tulivyo na tunapoelekea, uwe makini, angalia maneno yake lakini....[/SIZE]
@mshana jr, wewe ni mtu hatari huna tofauti na wale wa chama chawala wanaofanya sihasa za maji taka, eti nilikuwa mgonjwa... DEMBA tafadali kuwa makini na huyu bazazi....Basi zile habari zake za nanihiii walimpakazia tu maskini kabanga pokea apology yangu hapo ulipo walimwengu si watu wema sana wanasema eti ugonjwa wako ni under 18
unamsikiliza kweli...? angalia asikuvurugie....whaatttt!!!