Namtafuta Best angu nilisomanae CBE

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Posts
1,274
Reaction score
51
Mimi ni mdau wa JF naomba kama kuna mtu ana namba ya RAfiki angu anaitwa Joyce Yacob MSanga nilisoma ne CBE please Contact zake nimeibiwa simu last week please aliyekuwa nayo na email kama pia anayo please msifikirie vibaya

Kama hujui please muulize mwenzako
 
 
Kaolewa,kama unashida ya kawaida tu sema nimwombe contacts mume wake then nikupe.
 
Hii kali mwana inamaana hadi email yake umeibiwa au imepotea? Acha kuleta udaku wako hapa!
 
Nashukuru Konzogwe sasa wewe nipe basi mail au namba ya mume wake kwani huyu ni friend wa kawaida tu na sio love friend ok please wewe nipe contact yoyote naweza kumpata email yangu walihack watu sasa nimefungua ingine ndo maana nakosa mawasiliano nae na mimi huku nipo UK nakosa mawasiliano na mabest zangu maana kila kitu niliacha Bongo namba za Simu please best nitumie au mpe mail yangu frankrwegoshora@yahoo.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…