namtafuta binti mwenye sifa hizi awe wangu wa ndani!

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
View attachment 117633
girls, picha hapo juu yajieleza! ningependa kupata mdada mrembo from jf, awe mrefu, mnene kiasi, mpenda mazoezi na asiwe na kitumbo cha chipsi!

niko tayari kuanza mahusiano ya kimapenzi na yeye!

sifa zangu kwa ufupi!

mimi ni mrefu kama hasheem thabeet,

napenda sana utani as i like making myself happy always!

pure mchakarikaji!

iam a time manager!

.................

girls welcome!
 
Ukimpata unamfanyia nini........?
 
Ukimpata unamfanyia nini........?
Preta, Namjibia hivi

Akimpata anajifurahisha yeye na Dushelele lake na kisha anamtenda, kwa kutoa visingizio visivyo na MASHIKO
 
Last edited by a moderator:
Preta, Namjibia hivi

Akimpata anajifurahisha yeye na Dushelele lake na kisha anamtenda, kwa kutoa visingizio visivyo na MASHIKO

sio kweli! siko kiivyo kabisa!
Preta kama ni wewe plz ni pm namba yako tafaaadhali mrembo!
 
Last edited by a moderator:
So wataka white tuuu, mwenye ushepu, ziwa saa 6 na miguu ya bia?
 
Dada yangu huyu hapa chini, je anakidhi vigezo vyako nimwambie aku-PM?
 

kwa maelezo yako unasoma darasa la ngapi. JF inachukua anda 18?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…