Acheni kutundika majina ya watu humu kwa maslahi binafsi.
Kama una hekima ya kutundika jina la mtu kwa kisingizio cha kumtafuta, mtafute kwa jina lako halisi. Sio unatumia jina la nyuma ya pazia na namba ya simu inayoweza kuwa unaijua wewe tu (wabongo siku hizi shurti kwa simu mbili au tatu zenye namba tofauti)
Kama unashida ya kumtafuta mtu andika barua RADIO ONE, wana kipindi cha kutafutana.

Kwani kuna ubaya gani kumtafuta mtu hapa? Mimi tena napendekeza kabisa lianzishwe jukwaa la hili suala. Na huyu jamaa wa watu aliyeweka hili tangazo mbona sio wa kwanza kufanya hivi hapa, au ulikuwa 'mnyonge' fulani ndo umshukie?
kweli kabisa nsumba wane. Hakuna ubaya kutafutana hapa. Watu wanataka kujificha ficha utadhani wanafanya mambo haramu. Gotdamnit
na mimi naunga mkono kuanzishwa jukwaa la kutafutana. Kama hutaki kushiriki huko usiingie na usiwanyime wenzako fursa ya kufanya hivyo kwa vile tu wewe hukubaliani na hilo.
this is tooo much
hapa siyo baraza la kutafuta waliopotea.
mbona hamutafuti maadili ya viongozi yaliyopotea? mbona hamtafuti viongozi bora? acheni hizo bwana
Na wewe kama hutafutwi wewe inakuhusu vipi? Acha kuambia watu nini cha kufanya na nini cha kutokufanya.
Nasikitika kukutaarifu kuwa huyo dada alishafariki dunia mwaka 2001,Mungu amlaze mahali pema peponi, pole sana ndugu!!Nilipotezana naye tangu mwaka 1993. Ningependa kuwasiliana naye. Nitashukuru kama kuna mtu anamfahamu huyu dada na akaniwezesha kuwasiliana naye. Alikuwa JKT Mlale, Ruvumba mwaka 1992/93 operation ya vyama vingi. Baba yake aliwahi kuwa mkuu wa wilaya (nadhani Nzega na za mikoa ya kusini mwa Tanzania - aidha Ruvuma, Lindi au Mtwara).
Contact: 0719427944
Nasikitika kukutaarifu kuwa huyo dada alishafariki dunia mwaka 2001,Mungu amlaze mahali pema peponi, pole sana ndugu!![/QUOTE]
UNA UHAKIKA NA ULICHOKIANDIKA HAPA LAKINI NDUGU YANGU??? VINGINEVYO JF ANGALIA TUSIJE ANZA ZUSHIANA VIFO UMU NDANI, SIO FRESH
IN ADDITION, NDIO MAANA NILISEMA KUWEKA MAJINA KAMILI UKU KUTALETA BALAA, EBU ONA SASA WATU WANAKUMBUSHWA MACHUNGU YA MPENDWA WAO!!!
very wise thinking mkulu.Mimi naona labda tufanye kama livyofanya Nyani- kama unamjua mtu anayetafutwa unamtumia PM mtafutaji, moderators waondoe possibility ya watu kupost chochote kwenye hizi threads.
Nisingeandika kama nisingekuwa na uhakika,ata hivyo ushauri wa Kana Ka Nsungu ni mzuri na nimeukubali!!Nasikitika kukutaarifu kuwa huyo dada alishafariki dunia mwaka 2001,Mungu amlaze mahali pema peponi, pole sana ndugu!![/QUOTE]
UNA UHAKIKA NA ULICHOKIANDIKA HAPA LAKINI NDUGU YANGU??? VINGINEVYO JF ANGALIA TUSIJE ANZA ZUSHIANA VIFO UMU NDANI, SIO FRESH
IN ADDITION, NDIO MAANA NILISEMA KUWEKA MAJINA KAMILI UKU KUTALETA BALAA, EBU ONA SASA WATU WANAKUMBUSHWA MACHUNGU YA MPENDWA WAO!!!
..... Apumzike kwa amani!Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema poponi. Amina